Kurasa

Jumapili, Aprili 16, 2017

Ramadhani (mwezi wa neema)

Mwezi mtukufu wa RAMADHAN 

    
"HABARI NJEMA"
INSHA ALLAHU TAALA panapo Uhai na Uzima Mwezi mtukufu wa RAMADHAN utaanza Jumamosi ya tarehe 27/5/2017, saw na trh za kiislam 1/9/1438h.
ambapo zimebaki siku 65 kutoka leo.
Mtume MOHAMMAD(s.a.w),amesema atakae mkumbusha mwenzake kuhusu Ramadhani basi moto wa jahannam utakua haramu kwake. kwa kukimbilia malipo hayo mimi nimekimbilia kukukumbusha wewe na wewe mkumbushe mwingine ili sote tupate malipo hayo.Inshaallah Amiin!!...Nakutakia siku  njema

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni