Kuna watu wanafoward hiyo namba kuwa ni za ki freemasonry
Fwd: HIYO NAMBA 0228530469 IKIKUPIGIA USIPOKEE,USIKU KUAMKIA JUZI IMESHACHUKUA WATU 8 MAENEO YA TEMEKE, YAANI NA LEO ASB WATU 13, WA5 MNAZI 1 NA 8 MAENEO YA KIGAMBONI NA JIONI HII IRINGA MKWAWA WATU 2 WAMEKUFA ! INASEMEKANA MTU AKIPOKEA ANAZIMIA NA KUFA PAPOHAPO,NAOMBA SMS HII WATUMIE WATU WALIO KTK SI
Usidanganywe wala nn hiyo sio freemasonry Usidanganywe mi nahodha wako nazir lzm nikupashe yaliyokweli
Ni blog ya kijanja mazee, karibu katika blog yangu
Ni blog ya kijanja mazee, karibu katika blog yangu
Kurasa
▼
Jumamosi, Aprili 29, 2017
Jumapili, Aprili 16, 2017
Ramadhani (mwezi wa neema)
Mwezi mtukufu wa RAMADHAN
"HABARI NJEMA"
INSHA ALLAHU TAALA panapo Uhai na Uzima Mwezi mtukufu wa RAMADHAN utaanza Jumamosi ya tarehe 27/5/2017, saw na trh za kiislam 1/9/1438h.
ambapo zimebaki siku 65 kutoka leo.
Mtume MOHAMMAD(s.a.w),amesema atakae mkumbusha mwenzake kuhusu Ramadhani basi moto wa jahannam utakua haramu kwake. kwa kukimbilia malipo hayo mimi nimekimbilia kukukumbusha wewe na wewe mkumbushe mwingine ili sote tupate malipo hayo.Inshaallah Amiin!!...Nakutakia siku njema
